Tuesday, July 7, 2009

kuvunja kamati!

bwana na bibi john momadi wanapenda kuwataarifu ndugu na marafiki wote kwamba wanatarajia kuvunja kamati ya harusi yao jumapili ya tarehe 12 julai.
muda na mahali na mipango mingine mtaarifiwa siku za usoni.
kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi wa zakaria chuma

shukrani.

1 comment:

Unknown said...

Mmekuwa kimya sana mnaniangusha!! ina maana hamna habari mpya, mambo kibao yametokea,misiba,sherehe kimya,

Mpapasingo Nicodemus